Genesis 25:5-6

5 aIbrahimu akamwachia Isaka kila kitu alichokuwa nacho. 6 bLakini Ibrahimu alipokuwa bado hai, akawapa watoto wa masuria wake zawadi, kisha akawaondoa waende kuishi pande za mashariki mbali na mwanawe Isaka.

Copyright information for SwhKC